Episode 3 – Risk groups of coronavirus and quarantine - Makundi yaliyo hatarini zaidi na karantini

Apr 24, 2020 · 15m 21s
Episode 3 – Risk groups of coronavirus and quarantine - Makundi yaliyo hatarini zaidi na karantini
Description

Kwenye kipindi cha tatu cha Ifahamu Corona tutasikia kundi gani lipo hatarini zaidi kupata virusi vya corona na kuhusu karantini. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo...

show more
Kwenye kipindi cha tatu cha Ifahamu Corona tutasikia kundi gani lipo hatarini zaidi kupata virusi vya corona na kuhusu karantini. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu magonjwa ambao yanaweza kukuweka kwenye hatari ya kuambukizwa na inachukua muda gani kupona ukiathirika na virusi vya corona.

In the third episode of Anatomy of Corona, we will hear about coronavirus risk groups and quarantine. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health Tanzania will answer questions about which groups are prone to infectious diseases such as the coronavirus and how long does it take to heal from the coronavirus.
show less
Information
Author Suomen Podcastmedia
Organization Suomen Podcastmedia
Website -
Tags

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Podcast Cover

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search