Podcast Cover

One Step Within Podcast

  • investments-one step within podcast

    7 AUG 2022 · kwenye hii podcast nimeweza kutoa elimu niliopata kuhusu investments(kuwekeza)kwenu ili kwa wale wasio na ufahamu juu ya kutumia pesa yao vizuri basi waweze kuifahamu na kuweza kufanya maamuzi yalio sahihi na pesa zenu.
    Played 20m 53s
  • BRAKING A HABIT-one step within

    7 AUG 2022 · Jifunze njia muhimu zitakazo kusaidia kuvunja tabia ambazo hazikusaidii kwenye maisha yako na kuweza kujenga tabia ambazo zitakua na msaada kwako
    Played 11m 37s
  • entities

    7 AUG 2022 · jifunze nini maana ya entities ili uweze kumiliki na kutumia hizo entities kwenye biashara yako kujilinda na balaa za hapa na pale kwenye kuendesha biashara
    Played 14m 49s
  • social pressure-one steep within

    7 AUG 2022 · watu wanao kuzunguka wana influence kubwa juu ya mmaisha yako ya kila siku hasa marafiki zako wa karibu.jifunze na kujua nguvu za marafiki zako na watu wanao kuzunguka kwenye hii episode
    Played 14m 53s
  • uvumilivu

    7 AUG 2022 · watu wengi wameshindwa kusubiri juu ya vitu walivyo tamani juu ya maisha yao na kupelekea kukata tamaa kwa sababu kubwa tu ya kushindwa kusubiri
    Played 6m 36s
  • intro

    7 AUG 2022
    Played 42s
  • private or public

    7 AUG 2022 · jambo ambalo lili wafanya wafanya biashara wengi kuweza kukaa chini na kufikiria kwenye kufanya maamuzi kati ya kuipeleka biashara yao public au kuibakisha tu kua private.kwenye hii episode utaweza kuelewa tofauti kati ya hayo maneno
    Played 9m 35s
  • msimamo-one step within podcast

    7 AUG 2022 · msimamo ni swala ambalo watu wengi limekua shida ila kwenye podcast ya leo utajifunza mabo muhimu kuhusu msimamo ili uweze kusimama na kile unacho kiamini bila ya kuyumbishwa
    Played 14m 55s
  • elimu-one step within podcast

    7 AUG 2022 · pata kuweza kujua ipi ni elimu ya kujifunza na ipi itaweza kukufaa kwenye safari nzima ya maisha yako
    Played 12m 30s
  • cashflow

    7 AUG 2022 · Jua namna ya kutumia pesa ili iweze kukufanyia kazi wewe badala ya wewe kuifanyia kazi
    Played 8m 42s

jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote ambapo tunahitaji kufika

show more
jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote ambapo tunahitaji kufika
show less
Contacts
Information

Looks like you don't have any active episode

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Current

Podcast Cover

Looks like you don't have any episodes in your queue

Browse Spreaker Catalogue to discover great new content

Next Up

Episode Cover Episode Cover

It's so quiet here...

Time to discover new episodes!

Discover
Your Library
Search